Pages

Monday, December 27, 2010

Kwa wale wanaoitaji mageti
Moja ya kazi tunazofanya

Moja ya grill simple kwa wale wasiopenda maua mengi,huwa linapendeza kwa wenye madirisha ya 4X6 mpaka 6X6.

Sunday, December 19, 2010

Wadau wote wa Savei Metal Art & Aluminium Works

Thursday, December 16, 2010

Tuesday, December 14, 2010

Friday, December 3, 2010

sample za aluminiumAluminium ndani ya Savei Metal ArtKutokana na maombi ya wateja kwa mda mrefu,sasa savei metal art tumeanza kufanya kazi za aluminium,kwa wale wenye madirisha,milango,partition kwenye maofisi n.k, kazi zote zinafanyika ndani ya Savei Metal Art.

Karibuni sana.

Wednesday, December 1, 2010