Pages

Wednesday, August 18, 2010

Ramadhani njema!

Kutokana na maombi ya wateja wangu wa Saudia,wameomba niwawekee picha za grill zikiwa na bei zake,ntajitahidi hadi mwisho wa week niwe nimeweka.
Asanten.

Monday, August 2, 2010

savei metal art

Kutokana na maoni na ushauri toka kwa wateja wetu,tumeamua kuzipa namba kazi zetu ili ziwe rahisi mtu akiona na akiipenda aweze kuweka order kwa urahisi.