Pages

Monday, December 12, 2011

Upande wa vitanda


Mda kidogo hatujaupdate upande wa vitanda..huo ni upande wa mbele..picha zaidi kikikamilika

Tukiwa site

Mageti ya kuslide..ila hapa tumelifunga kwenye nyumba..picha zaidi kazi ikiisha

Monday, November 21, 2011

Tukiendelea na kazi ya grill
Grill zetu zikiwa hatua za mwisho mwisho

Thursday, November 10, 2011

Tukiwa site

Mzigo umefika salama site

Site yetu inavyoonekana kabla kazi haijaanza

Tukiendelea kufunga kwenye nyumba ndogo

Monday, October 24, 2011

Kazi mchanganyiko
Sunday, September 25, 2011

curtain poles

Sunday, September 11, 2011

Kazi mbali mbali


Tukiwa site


Monday, August 15, 2011

Upande wa vitanda


Gate zetu zikiwa hatua ya rangi
upande wa aluminium

Shuter zetu zikiwa tayari

Frame zetu zikiwa tayari

Wednesday, July 27, 2011

upande wa milangoSaturday, July 23, 2011

Tuesday, July 19, 2011

Thursday, July 7, 2011

Tukiwa site

Mzigo umefika site salama

Kazi imeanza

Tukiwa katika hatua za mwisho

Kigiza kinaingia na kazi iko ukingoni

Thursday, June 30, 2011

Saturday, June 25, 2011

ulinzi kwenye nyumba zetu

mikuki kwa ajili ya fence

upande wa vitanda


kile kitanda chetu kikiwa hatua za mwisho mwisho kikisubiri rangi

Sunday, June 19, 2011

Design mpya ya grill na mlango

Leo tuna design mpya ya grill na mlango.
Kuwa wa kwanza kuipata kwenye nyumba yako kwa kuwasiliana na ofisi yetu @ 0687220063,0713524433

Dirisha dogo likiwa na ua moja na kitunguu chetu katikati.

Mlango wetu ukiwa na ua juu na chini

dirisha kubwa la 4x4 feet likiwa na maua mawili