Pages

Thursday, June 30, 2011

Geti letu likisubiri rangi

Saturday, June 25, 2011

ulinzi kwenye nyumba zetu

mikuki kwa ajili ya fence

upande wa vitanda


kile kitanda chetu kikiwa hatua za mwisho mwisho kikisubiri rangi

Sunday, June 19, 2011

Design mpya ya grill na mlango

Leo tuna design mpya ya grill na mlango.
Kuwa wa kwanza kuipata kwenye nyumba yako kwa kuwasiliana na ofisi yetu @ 0687220063,0713524433

Dirisha dogo likiwa na ua moja na kitunguu chetu katikati.

Mlango wetu ukiwa na ua juu na chini

dirisha kubwa la 4x4 feet likiwa na maua mawili

Upande wa mageti

Kazi imeanza,uandaaji wa frame yetu ya gate,hapo imebaki kuanza kusuka mkeka wetu.hili litakuwa la kufunguka kawaida sio la slide,
mwisho wa siku gate letu litakuwa hivi.
kama umelipenda gate kama hilo basi wasiliana na ofisi yetu 0713524433,0687220063 kwa ajili ya vipimo na kupata bei.

leo tupo upande wa vitanda

Kazi imeanza...bomba zetu zipo tayari zimekunjwa,hiko kitanda ni double kitakuwa na 4x6 juu na 5x6 chini.
mwisho kazi yetu itakuwa kama hii.

Sunday, June 5, 2011

shoe rack

grill


Mageti mbalimbaligate

Mafundi wengi hupenda kuliita mkeka,huwa unaweza tengeneza la kuslide au la kufunguka kawaida.