Pages

Thursday, April 21, 2011

Upande wa Aluminium

Kwa wale wenye frame za duka,unaweza pata milango hii kwa bei nzuri..wasiliana na ofisi yetu..0713524433/0687220063.

Tumeanza kuandaa lile ua letu la balcon

Hapo bado kuweka kitunguu katikati

Friday, April 15, 2011

leo tupo upande wa balcon

Kazi imeanza
Uandaaji wa balcon zetu





Wednesday, April 13, 2011

Bado tupo upande wa aluminium




Shutter zetu za mbu zikiwa tayari kwenda site



Huu mlango haujawekwa kioo,ni wavu wa mbu tu kwa ajili ya barazani.Hewa inakuwa inapita vizuri.