Kwa wale wafugaji wa kuku,tuna kitengo cha kutengeneza incubator za mafuta ya taa za kuanzia mayai 100-400.
Unaweza kuwasiliana na ofisi zetu kwa maelezo zaidi 0713524433 / 0755524433.
Kwa wale wenye madirisha ya Aluminium,najua wengi wanasumbuliwa na Mbu kuingia ndani kwa kupenya katikati ya shutter,dawa yake ipo,zipo rubber zake za kuzuia mbu kupenya....
Fanya mawasiliano na ofisi yetu kwa ajili ya kuwekewa hizo rubber na kuondoka na adha ya Mbu....
Karibu katika blog yetu,hapa utachagua,jifunza na kuwasiliana na ofisi yetu ambayo inapatikana maeneo ya savei kama unaenda chuo kikuu karibia na brajec au kwa namba 0713524433/0687220063/0755524433.
Karibuni sana kwa ajili ya order ya kazi mbalimbali za Aluminium na Metal kama zilivyoonyeshwa.
Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
-
*By Dr. Herman Louise Verhofstadt*
* “A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli,
likes to fire employees on television. In No...
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...