Pages

Friday, December 3, 2010

Aluminium ndani ya Savei Metal Art



Kutokana na maombi ya wateja kwa mda mrefu,sasa savei metal art tumeanza kufanya kazi za aluminium,kwa wale wenye madirisha,milango,partition kwenye maofisi n.k, kazi zote zinafanyika ndani ya Savei Metal Art.

Karibuni sana.

No comments:

Post a Comment