Pages

Sunday, June 19, 2011

Upande wa mageti

Kazi imeanza,uandaaji wa frame yetu ya gate,hapo imebaki kuanza kusuka mkeka wetu.hili litakuwa la kufunguka kawaida sio la slide,
mwisho wa siku gate letu litakuwa hivi.
kama umelipenda gate kama hilo basi wasiliana na ofisi yetu 0713524433,0687220063 kwa ajili ya vipimo na kupata bei.

No comments:

Post a Comment